BREAKING NEWS: UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU WAKAMILIKA | BONGOJAMII

BREAKING NEWS: UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU WAKAMILIKA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Upande wa Jamhuri umekamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili Wema Sepetu ya kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Bangi.

Leo Mei 2, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakili wa Serikali Helleni Mushi alidai Kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuomba kupangwa tarehe ya kuanza kusikilizwa.

Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa Tarehe 1 mwezi Juni mwaka huu.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts