BREAKING NEWS: YERIKO NYERERE AKAMATWA SAA TISA USIKU | BONGOJAMII

BREAKING NEWS: YERIKO NYERERE AKAMATWA SAA TISA USIKU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kada wa Chadema Yeriko Nyerere, amekamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni polisi au usalama wa taifa leo akiwa nyumbani kwake Kigamboni, Mbutu.


Taarifa iliyotolewa na Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob imeeleza kuwa Nyerere alikamatwa na watu hao ambao waliambatana na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbutu.


“Nimepata taarifa kutoka kwa ndugu wa Yeriko ambao wamenipigia simu alfajiri leo. Wamesema amekamatwa saa tisa usiku na watu hao ambao walivalia kiraia. Viongozi wa Chadema wanaelekea polisi kufuatilia kwa kina chanzo cha Yeriko kukamatwa,” amesema Jacob

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts